Side Boy amefariki leo katika hospitali ya Nyangao iliyopo mkoani Lindi.Aliwahi kutoa nyimbo kadhaa zikiwemo ‘Hujafa Hujaumbika’, ‘Usimdharau Usiyemjua’ na ‘Kua Uyaone.’
- See more at: http://www.johventuretz.com/2014/09/muimbaji-wa-hujafa-hujaumbika-na.html#sthash.WfXajG25.dpuf